ZILIPENDWA-DIAMOND PLATNUMZ,HARMONIZE,RICH MAVOKO,RAYVANNY,QUEEN DARLEEN,LAVALAVA,MBOSO




 [Intro: Diamond]
Oooh! hizo ni zama za kale
Oooh! Sangulo na pepe kale,
Zilipendwa,

[Verse 1: Rayvanny]
Eh! Kizamani,kutoa card na mau(zilipendwa),
Wanataka money ukilipa unakwarua(zilipendwa),
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikwamua(zilipendwa),
Unafika ndani,hujatomasa unachanua(zilipendwa),
Wanawake wa leo wanataka mikakati,
Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati(zilipendwa),
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi,
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass(zilipendwa),
Eeh! kupiga chabo getto(zilipendwa),
Mkono na dettol(zilipendwa),
Mche na kapeto(zilipendwa),
MA J na Mobeto(zilipendwa),



[Hook 1: Diamond]
Oooh! Hizo ni zama za kale,
Oooh! Sangulo na Pepe kale,
Mmm bolingo ndombolo(zilipendwa),
Twanga chipolopolo(zilipendwa),
Na maji ya kandoro(zilipendwa),
Simba wa Morogoro(zilipendwa),

[Verse 2: Rich mavoko]
Tani sipati sukari guru kabisa(zilipendwa),
Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latiffa(zilipendwa),
Babu Tale wapi papa misifa(zilipendwa),
Siku hizi party hatuendagi Ibiza(zilipendwa),
Mpira na Pele(zilipendwa),
Tanu na Nyerere(zilipendwa),
Asha Ngedere(zilipendwa),
Harusi mabele(zilipendwa),
Eti Uuze nyumba uweke heshima bar,
Eti Ulazimishe aliyekukataa,
Sabuni Kicherema(zilipendwa),
Mabanda ya Cinema(zilipendwa),
Lipumba na lema(zilipendwa),
Diamond na Wema(zilipendwa),

[Hook 2: Diamond]
Ooh hizo ni zama za kale(zama za zamani),
Ooh Sangulo na pepe kale(yoyoyo),
Mmm______na sogi dogg(zilipendwa),
Chanel analogy(zilipendwa),
Movie za saibogy(zilipendwa),
Van Dame Anod(zilipendwa),

[Verse 3: Queen Darlin]
Una nibeep nikupigie umeiweka vocha(haloo),
Ule wewe nilipe mie umeniona Loffa,
Tena na madada wenye majina acheni visa,
Unaitwa ukale diner mnakwenda Tisa,
Nywele za kichina(zilipendwa),
Pochi za kuazima(zilipendwa),
Zena na betina(zilipendwa),
Bashite gwajima(zilipendwa),

[Hook 3: Diamond]
Ooh hizo ni zama za kale(zama za zamani),
Ooh Sangulo na pepe kale(yoyoyo),
Mmm Amitabh Bachchan(zilipendwa),
Tv kwa jirani(zilipendwa),
Madee Rayvany(zilipendwa),
Zai Ivan(zilipendwa),

[Verse 4: Harmonize]
Yanini kunichunguza naish wapi(zilipendwa),
Nala,chapati kwa maini au makange(zilipendwa),
Kutwa kunikalia chini unakamati,
Oh ya Rabi masikini kuni dhihaki,
Ah sampamba pangala(zilipendwa),
P Funk Kajala(zilipendwa),
Onyango na Jangala(zilipendwa),
Rufufu mkandala(zilipendwa),
Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli,
Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli,
Ah,Bongoman yondo(zilipendwa),
Sikinde Msondo(zilipendwa),
Magari ya Udongo(zilipendwa),
Babu wa Loliondo(zilipendwa),

[Hook 4: Diamond]
Ooh hizo ni zama za kale(zilivumaga sana),
Ooh Sangulo na pepe kale(yoyoyo),
Ah Tv za kichogo(zilipendwa),
Wakina Man Dojo(zilipendwa),
____na Iyobo(zilipendwa),
Akina Hatupogo(zilipendwa),

[Verse 5: Mbosso]
Eti msiba ukiona Bundi unataka kupagawa,
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa,
Zuwena nitampata wapi(zilipendwa),
Zuwena wa zile nyakati eh(zilipendwa),
Kujifanya mapanga sunna wamepinda,
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda,
Iddi Amini dada(zilipendwa),
Miuno ya H Baba(zilipendwa),
Domo Chai Jabba(zilipendwa),
Michezo ya kibaba baba(zilipendwa),

[Verse 6: Lava Lava]
Wale wapiga deal sasa hali mbaya(zilipendwa),
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya(zilipendwa),
Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya(zilipendwa),
Vikatuni vya madenge baba ubaya(zilipendwa),
Muhogo mchungu mr.bean,wapi bambo(zilipendwa),
Wale wazamiaji wale wa melini wazee wang’ambo,
Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo,
Wa Vietnam waporini vita na Rambo,
Eh ndanda Mjela jela(zilipendwa),
Kidali Kombolela(zilipendwa),
Max na Zembwela(zilipendwa),
Juma Nature na fela(zilipendwa),

[Hook 5: Diamond]
Ooh hizo ni zama za kale(zama za zamani),
Ooh Sangulo na pepe kale(yoyoyo),
Mmm kamanda Daz Nunda(zilipendwa),
Kalumanzila Ndumba(zilipendwa),
Simu za Dole gumba(zilipendwa),
Johari na Kanumba(zilipendwa),

[Outro: Rayvanny&Diamond]
Wasafii,

Zilipendwa,Zilipendwa,
Zilipendwa,Zilipendwa,
Ohlilelelileeee,
ZILIPENDWA,
available on Telegram t.me/liriklaguok
Related : ZILIPENDWA-DIAMOND PLATNUMZ,HARMONIZE,RICH MAVOKO,RAYVANNY,QUEEN DARLEEN,LAVALAVA,MBOSO.