Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,
Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,
hukimwi kwa siku, hukimwi kwa mwaka,
unatafsiri majira,huzuiwi na muda,
umejawa na nguvu,ndio maana nakuita baba,
moyoni mwangu,najawa sifa,
na ujasiri katika wewe,
hakuna mlima wa kuniangusha,
ndani yako, ninasimama
Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,x2
nimezungukwa ,nawe kila pande,
hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yaliyo upande wangu,
ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
hatua zangu ,zaongozwa nawe,
siangamii ,siteketei,katika wewe ,ninasimama
siteketei,na ninadumu,
Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,x2
kwako bwana nasimama,ndiwe mwamba ni salama
kwako bwana nasimama,
we daily believe in you,
we shall stand firm forever,
Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,x2
available on Telegram Song Lyrics